CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 16
Andika wingi wa sentensi zifuatazo: a) Hiki ni kikombe.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 11) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
3. Andika wingi wa sentensi zifuatazo:
a) Hiki ni kikombe.
Answer
Hivi ni vikombe.
Wingi wa "hiki ni kikombe" ni "hivi ni vikombe".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- b) Lile ni zizi.Question 17
- Jaza nafasi zilizo wazi kwa neno sahihi kutoka kwenye mabano: a) ___ huandika ubaoni.Question 18
- b) ___ hutengeneza nguo.Question 19
- c) ___ huendesha gari.Question 20
- Taja majina ya sehemu tatu za mwili wako. a)Question 21
- Pangilia maneno haya kuunda sentensi yenye maana: a) anakula chakula mtotoQuestion 24