CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 18
Jaza nafasi zilizo wazi kwa neno sahihi kutoka kwenye mabano: a) ___ huandika ubaoni.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kazi za Watu
4. Jaza nafasi zilizo wazi kwa neno sahihi kutoka kwenye mabano:
a) ____ huandika ubaoni.
- ADaktari
- BMwalimu
- CDereva
Answer
B. Mwalimu
Mwalimu huandika ubaoni.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- b) ___ hutengeneza nguo.Question 19
- c) ___ huendesha gari.Question 20
- Taja majina ya sehemu tatu za mwili wako. a)Question 21
- Pangilia maneno haya kuunda sentensi yenye maana: a) anakula chakula mtotoQuestion 24
- b) zuri ana ua FatumaQuestion 25
- SEHEMU D: KUANDIKA 1. Andika sentensi tatu kuhusu familia yako. Unaweza kutumia majina ya kubuni.Question 26