CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025: Assessment 2025 (Set 11)
Kiswahili — Assessment 2025 (Set 11) · Assessment 2025 (Set 11) · 27 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 27 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Jua lilikuwa linafanya nini?Answer: Lilikuwa linawaka sana.
- Question 2: Mama alimwambia Juma avae nini?Answer: Kofia.
- Question 3: Kwa nini alimwambia anywe maji mengi?Answer: Ili asipate kiu.
- Question 4: Juma alifanya nini baada ya kuambiwa na mama?Answer: Alifanya kama alivyoambiwa.
- Question 5: SEHEMU B: KUSOMA NA KUJIBU KIFUNGU 1. Fatuma na Musa walitembelea wapi jana?Answer: bustani ya maua
- Question 6: Waliona nini huko?Answer: maua mazuri
- Question 7: Taja rangi mbili za maua walizoziona.Answer: nyekundu na njano
- Question 8: Walijisikiaje baada ya kutembelea bustani?Answer: walifurahi sana
- Question 9: SEHEMU C: SARUFI, MSAMIATI, MATUMIZI YA LUGHA 1. Andika majina ya miezi minne ya mwaka: a)Answer: Januari
- Question 10: b)Answer: Februari
- Question 11: c)Answer: Machi
- Question 12: d)Answer: Aprili
- Question 13: Onyesha maneno yafuatayo kwa kutumia 'huyu', 'huu' au 'hii': a) MtotoAnswer: A. huyu
- Question 14: b) MtiAnswer: B. huu
- Question 15: c) KalamuAnswer: C. hii
- Question 16: Andika wingi wa sentensi zifuatazo: a) Hiki ni kikombe.Answer: Hivi ni vikombe.
- Question 17: b) Lile ni zizi.Answer: Yale ni mazizi.
- Question 18: Jaza nafasi zilizo wazi kwa neno sahihi kutoka kwenye mabano: a) ___ huandika ubaoni.Answer: B. Mwalimu
- Question 19: b) ___ hutengeneza nguo.Answer: B. Fundi cherehani
- Question 20: c) ___ huendesha gari.Answer: B. Dereva
- Question 21: Taja majina ya sehemu tatu za mwili wako. a)Answer: kichwa
- Question 22: b)Answer: mkono
- Question 23: c)Answer: mguu
- Question 24: Pangilia maneno haya kuunda sentensi yenye maana: a) anakula chakula mtotoAnswer: Mtoto anakula chakula.
- Question 25: b) zuri ana ua FatumaAnswer: Fatuma ana ua zuri.
- Question 26: SEHEMU D: KUANDIKA 1. Andika sentensi tatu kuhusu familia yako. Unaweza kutumia majina ya kubuni.Answer: Familia yangu ina watu watano. Baba yangu anaitwa Juma. Ninampenda mama yangu.
- Question 27: Nakili sentensi ifuatayo kwa hati nadhifu: Tunapenda kusoma Kiswahili.Answer: Tunapenda kusoma Kiswahili.