CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 19
b) ___ hutengeneza nguo.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kazi za Watu
b) ____ hutengeneza nguo.
- AMkulima
- BFundi cherehani
- CMvuvi
Answer
B. Fundi cherehani
Fundi cherehani hushona na kutengeneza nguo.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- c) ___ huendesha gari.Question 20
- Taja majina ya sehemu tatu za mwili wako. a)Question 21
- Pangilia maneno haya kuunda sentensi yenye maana: a) anakula chakula mtotoQuestion 24
- b) zuri ana ua FatumaQuestion 25
- SEHEMU D: KUANDIKA 1. Andika sentensi tatu kuhusu familia yako. Unaweza kutumia majina ya kubuni.Question 26
- Nakili sentensi ifuatayo kwa hati nadhifu: Tunapenda kusoma Kiswahili.Question 27