CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
Taja wanyama wawili wanaofungwa nyumbani.
From Kiswahili — Revision Paper 7 (2026) · 2 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.
Kuna wanyama wa aina nyingi. Kuna wanyama wanaofungwa nyumbani na wanaoishi msituni. Wanyama wanaofungwa nyumbani ni kama ng'ombe, mbuzi na kondoo. Mimi ninampenda mbuzi. Mbuzi akikamwa tunapata maziwa. Mbuzi akichinjwa tunapata nyama na ngozi. Maziwa ya mbuzi yana madini muhimu kwa mwili wetu. Nyama ni muhimu kwa afya yetu. Ngozi hutumiwa kutengeneza viatu, mikoba na mishipi.

1. Taja wanyama wawili wanaofungwa nyumbani.
Answer
ng'ombe, mbuzi
Kifungu kinataja ng'ombe, mbuzi na kondoo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.