naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8

Mbuzi akikamwa tunapata nini?

From Kiswahili — Revision Paper 7 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo.

Kuna wanyama wa aina nyingi. Kuna wanyama wanaofungwa nyumbani na wanaoishi msituni. Wanyama wanaofungwa nyumbani ni kama ng'ombe, mbuzi na kondoo. Mimi ninampenda mbuzi. Mbuzi akikamwa tunapata maziwa. Mbuzi akichinjwa tunapata nyama na ngozi. Maziwa ya mbuzi yana madini muhimu kwa mwili wetu. Nyama ni muhimu kwa afya yetu. Ngozi hutumiwa kutengeneza viatu, mikoba na mishipi.

Wanyama wa nyumbani: kondoo, ng'ombe, mbuzi, mbwa, bata mzinga, kanga na kuku

3. Mbuzi akikamwa tunapata nini?

Answer

maziwa

Mbuzi akikamwa tunapata maziwa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test