CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 7 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 7 (2026) · Revision Paper 7 (2026) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 30 questions with answers
- Question 1: Ni mnyama yupi hutusaidia kubeba mizigo?Answer: Punda.
- Question 2: Taja wanyama wawili ambao hutupa maziwa.Answer: Ng'ombe na mbuzi.
- Question 3: Je ni mnyama yupi hutulinda nyumbani?Answer: Mbwa.
- Question 4: Je, ni mnyama yupi hufanana na punda?Answer: Farasi.
- Question 5: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Kijiji cha Mvita kilifahamika na wengi kwa kuzingatia maadili. Kila mwanakijiji alilinda haki za watoto.…
- Question 6: Taja wanyama wawili wanaofungwa nyumbani.Answer: ng'ombe, mbuzi
- Question 7: Mwandishi anapenda mnyama yupi?Answer: mbuzi
- Question 8: Mbuzi akikamwa tunapata nini?Answer: maziwa
- Question 9: Taja kitu kimoja kinachotengenezwa kwa kutumia ngoziAnswer: viatu
- Question 10: Andika majina ya vyombo vya usafiri. a)Answer: C. garimoshi
- Question 11: b)Answer: D. basi
- Question 12: c)Answer: A. pikipiki
- Question 13: Andika sentensi hizi katika wingi. a) Baiskeli hii ni yanguAnswer: Baiskeli hizi ni zetu
- Question 14: b) Basi hili ni languAnswer: Mabasi haya ni yetu
- Question 15: Tumia -ako au -enu. a) Farasi ___ anakula nyasi.Answer: A. wako
- Question 16: b) Kuku ___ wametaga mayai.Answer: B. wenu
- Question 17: Tambua wanyama na uandike majina yao. a)Answer: punda
- Question 18: b)Answer: ngamia
- Question 19: c)Answer: kondoo
- Question 20: Chagua jibu sahihi kukamilisha sentensi zinazofuata. a) Ami amekalia kiti ___Answer: B. kirefu
- Question 21: b) Mjomba alinunua gari ___Answer: A. kubwa
- Question 22: c) Shangazi amepika uji ___Answer: B. mtamu
- Question 23: Andika kwa herufi ndogo au kubwa. a) mjombaAnswer: MJOMBA
- Question 24: b) SHANGAZIAnswer: shangazi
- Question 25: c) nyanyaAnswer: NYANYA
- Question 26: Chagua jibu sahihi la ukoo. a) Ndugu wa mama yako utamwita aje?Answer: A. mjomba
- Question 27: b) Mtoto wa shangazi na mjomba wako utamwita aje?Answer: B. binamu
- Question 28: Andika sentensi ukitumia maneno haya. a) BabuAnswer: Babu yangu anafuga ng'ombe.
- Question 29: b) MamaAnswer: Mama anapika chakula kitamu.
- Question 30: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: MNYAMA NIMPENDAYEAnswer: Mnyama nimpendaye ni mbuzi. Mbuzi wangu ni mweupe. Ana pembe mbili. Hula nyasi na majani. Hutupa maziwa…