CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Revision Paper 7 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Kijiji cha Mvita kilifahamika na wengi kwa kuzingatia maadili. Kila mwanakijiji alilinda haki za watoto. Familia nyingi zilihakikisha kuwa watoto wao walipata elimu bora. Zaidi ya hayo, walipewa matibabu, mavazi na makao. Pia walilindwa kutokana na tamaduni mbaya.
Wanakijiji walijua ni vibaya kumtesa mtoto. Lilikuwa jukumu la kila mwanakijiji kulinda mayatima.
Wanakijiji walijua ni vibaya kumtesa mtoto. Lilikuwa jukumu la kila mwanakijiji kulinda mayatima.
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Kijiji cha Mvita kilifahamika na wengi kwa kuzingatia maadili. Kila mwanakijiji alilinda haki za watoto. Familia nyingi zilihakikisha kuwa watoto wao walipata elimu bora. Zaidi ya hayo, walipewa matibabu, mavazi na makao. Pia walilindwa kutokana na tamaduni mbaya. Wanakijiji walijua ni vibaya kumtesa mtoto. Lilikuwa jukumu la kila mwanakijiji kulinda mayatima.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Taja wanyama wawili wanaofungwa nyumbani.Question 6
- Mwandishi anapenda mnyama yupi?Question 7
- Mbuzi akikamwa tunapata nini?Question 8
- Taja kitu kimoja kinachotengenezwa kwa kutumia ngoziQuestion 9
- Andika majina ya vyombo vya usafiri. a)Question 10
- Andika sentensi hizi katika wingi. a) Baiskeli hii ni yanguQuestion 13