CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Revision Paper 6 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Jina langu ni Halima. Halima ni jina nililopewa na wazazi wangu. Ninazijua haki zangu. Nina haki ya kuishi, nina haki ya kusoma, nina haki ya kucheza, nina haki ya kupewa mavazi na haki ya malezi bora. Ninashukuru wazazi na walimu wangu kwa kulinda haki zangu.
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Jina langu ni Halima. Halima ni jina nililopewa na wazazi wangu. Ninazijua haki zangu. Nina haki ya kuishi, nina haki ya kusoma, nina haki ya kucheza, nina haki ya kupewa mavazi na haki ya malezi bora. Ninashukuru wazazi na walimu wangu kwa kulinda haki zangu.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Taja vyombo viwili vya usafiri vilivyotajwa kwenye kifungu.Question 6
- Ni chombo gani husafiri angani?Question 7
- Kwa nini watu hutumia vyombo vya usafiri?Question 8
- Taja sheria moja ya usalama unayofaa kuzingatia unapokuwa safarini?Question 9
- Jaza nafasi ukitumia salamu ulizopewa 1. Mwalimu akiingia darasani hutusalimu vipi?Question 10
- Ukienda chumbani mwa kaka yako asubuhi utamwamkuaje?Question 11