CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 4
Ni nani hupika chakula nyumbani kwenu?
From Kiswahili — Revision Paper 6 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Vyakula
Mwalimu atakuuliza maswali kuhusu chakula. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili.
4. Ni nani hupika chakula nyumbani kwenu?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Mama hupika chakula.
Taja anayepika nyumbani, k.m. mama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Question 5
- Taja vyombo viwili vya usafiri vilivyotajwa kwenye kifungu.Question 6
- Ni chombo gani husafiri angani?Question 7
- Kwa nini watu hutumia vyombo vya usafiri?Question 8
- Taja sheria moja ya usalama unayofaa kuzingatia unapokuwa safarini?Question 9
- Jaza nafasi ukitumia salamu ulizopewa 1. Mwalimu akiingia darasani hutusalimu vipi?Question 10