CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 6 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 6 (2026) · Revision Paper 6 (2026) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 30 questions with answers
- Question 1: Je, unapenda kula chakula kipi?Answer: Ninapenda kula wali.
- Question 2: Taja matunda mawili unayopenda kula.Answer: Embe na ndizi.
- Question 3: Kwa nini tunapaswa kula chakula bora?Answer: Ili tuwe na afya njema na nguvu.
- Question 4: Ni nani hupika chakula nyumbani kwenu?Answer: Mama hupika chakula.
- Question 5: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Jina langu ni Halima. Halima ni jina nililopewa na wazazi wangu. Ninazijua haki zangu. Nina haki ya kuishi,…
- Question 6: Taja vyombo viwili vya usafiri vilivyotajwa kwenye kifungu.Answer: gari, basi
- Question 7: Ni chombo gani husafiri angani?Answer: ndege
- Question 8: Kwa nini watu hutumia vyombo vya usafiri?Answer: kwenda kazini, shuleni au sokoni
- Question 9: Taja sheria moja ya usalama unayofaa kuzingatia unapokuwa safarini?Answer: kuvaa mkanda wa usalama
- Question 10: Jaza nafasi ukitumia salamu ulizopewa 1. Mwalimu akiingia darasani hutusalimu vipi?Answer: B. hamjambo
- Question 11: Ukienda chumbani mwa kaka yako asubuhi utamwamkuaje?Answer: B. umeamkaje
- Question 12: Jaza nafasi kwa jibu mwafaka. 3. Mkoba ___Answer: B. wangu
- Question 13: Mikono ___Answer: B. yetu
- Question 14: Kiatu ___Answer: B. changu
- Question 15: Andika jina la kila picha. a)Answer: B. jua
- Question 16: b)Answer: C. ua
- Question 17: c)Answer: A. kijiko
- Question 18: Andika kwa herufi kubwa. a) kusomaAnswer: KUSOMA
- Question 19: b) matibabuAnswer: MATIBABU
- Question 20: c) watotoAnswer: WATOTO
- Question 21: Tumia "huyo" au "hao" a) Madereva ___ ni wakali.Answer: B. hao
- Question 22: b) Mwalimu ___ alinifundisha.Answer: A. huyo
- Question 23: c) Kondoo ___ alikula nyasi.Answer: A. huyo
- Question 24: Andika kwa umoja. a) VyakulaAnswer: Chakula
- Question 25: b) MadirishaAnswer: Dirisha
- Question 26: c) MikonoAnswer: Mkono
- Question 27: Jaza pengo. a) M __ zaAnswer: Meza
- Question 28: b) Mwan __ funz __Answer: Mwanafunzi
- Question 29: c) Ch __ paAnswer: Chupa
- Question 30: SEHEMU YA E: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: DARASA LANGUAnswer: Darasa langu ni Gredi ya Pili. Lina madawati mengi. Mwalimu wetu ni mpole. Tuna wanafunzi thelathini.…