CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10
Jaza nafasi ukitumia salamu ulizopewa 1. Mwalimu akiingia darasani hutusalimu vipi?
From Kiswahili — Revision Paper 6 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maamkuzi
Jaza nafasi ukitumia salamu ulizopewa
1. Mwalimu akiingia darasani hutusalimu vipi?
- Amkoaje
- Bhamjambo
Answer
B. hamjambo
Mwalimu huwasalimu wanafunzi wengi: "Hamjambo?".
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Ukienda chumbani mwa kaka yako asubuhi utamwamkuaje?Question 11
- Jaza nafasi kwa jibu mwafaka. 3. Mkoba ___Question 12
- Andika jina la kila picha. a)Question 15
- Andika kwa herufi kubwa. a) kusomaQuestion 18
- Tumia "huyo" au "hao" a) Madereva ___ ni wakali.Question 21
- b) Mwalimu ___ alinifundisha.Question 22