CBC Grade 2 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 23
Kamilisha kwa kuandika chakula kimoja kwa kila aina ya chakula. a) Wanga
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vyakula
8. Kamilisha kwa kuandika chakula kimoja kwa kila aina ya chakula.
a) Wanga
Answer
ugali
Vyakula vya wanga hutupa nguvu, k.m. ugali, wali, mkate na viazi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.