CBC Grade 2 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 29
d) Siku ya nne
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kisha ujibu maswali.
Jumamosi ni siku ya kwanza ya wiki, Jumapili kisha Jumatatu. Jumanne ni siku ya nne. Jumatano ni siku ya tano. Alhamisi hufuata Jumatano kisha Ijumaa humalizia wiki.
Panga siku tano za kwanza za wiki.
d) Siku ya nne
Answer
Jumanne
Kwa mujibu wa kifungu, siku tano za kwanza ni Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne na Jumatano. Siku ya nne ni Jumanne.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.