CBC Grade 2 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 30
e) Siku ya tano
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kisha ujibu maswali.
Jumamosi ni siku ya kwanza ya wiki, Jumapili kisha Jumatatu. Jumanne ni siku ya nne. Jumatano ni siku ya tano. Alhamisi hufuata Jumatano kisha Ijumaa humalizia wiki.
Panga siku tano za kwanza za wiki.
e) Siku ya tano
Answer
Jumatano
Kwa mujibu wa kifungu, siku tano za kwanza ni Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne na Jumatano. Siku ya tano ni Jumatano.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA TANO: KUANDIKA. Andika sentensi tano kuhusu; "SHULE YANGU"Question 31
- Mwalimu: U hali gani?Question 1
- Mwalimu: Habari ya asubuhi?Question 2
- Mwalimu: Je unatumia chombo kipi kuja shuleni asubuhi?Question 3
- Mwalimu: Kwa nini watu huenda hospitalini?Question 4
- Mwalimu: Taja vifaa viwili vinavyopatikana hospitalini?Question 5