CBC Grade 2 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 26
SEHEMU YA NNE: UFAHAMU. a) Siku ya kwanza
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kisha ujibu maswali.
Jumamosi ni siku ya kwanza ya wiki, Jumapili kisha Jumatatu. Jumanne ni siku ya nne. Jumatano ni siku ya tano. Alhamisi hufuata Jumatano kisha Ijumaa humalizia wiki.
Panga siku tano za kwanza za wiki.
9. SEHEMU YA NNE: UFAHAMU.
a) Siku ya kwanza
Answer
Jumamosi
Kwa mujibu wa kifungu, siku tano za kwanza ni Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne na Jumatano. Siku ya kwanza ni Jumamosi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.