CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 12
Nani alikuwa anaonekana siku ya mwisho?
From Kiswahili — Term 3 Opener Exam · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Kifungu cha Ufahamu
Leo ilikuwa siku ya mwisho kuona ng'ombe wangu. Alikuwa mkubwa sana. Alikuwa wa rangi nyekundu. Ng'ombe wangu alikuwa anauzwa kwa mwenye bucha. Baba alipeana ng'ombe naye akapewa pesa. Mwenye bucha alimfunga kamba mpya. Mwenye bucha akasema kuwa atamchinja auzwe kama nyama. Nilianza kulia. Nilimuhurumia ng'ombe wangu. Nilimpenda sana. Kila siku nikitoka shuleni alikuwa ananifuata nimpe maji na nyasi.

Answer
ng'ombe
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Ng'ombe alikuwa wa rangi gani?Question 13
- Nani aliuziwa ng'ombe?Question 14
- Mwenye bucha angemfanyia nini ng'ombe?Question 15
- Kila akitoka shuleni alikuwa akimfanyia nini ng'ombe?Question 16
- Jaza pengo: "Darasa ___ ni kubwa." (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu, langu)Question 17
- Jaza pengo: "Mwalimu ___ wa Kiswahili anaitwa Bi. Malkia." (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu, langu)Question 18