naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 13

Ng'ombe alikuwa wa rangi gani?

From Kiswahili — Term 3 Opener Exam · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Kifungu cha Ufahamu

Leo ilikuwa siku ya mwisho kuona ng'ombe wangu. Alikuwa mkubwa sana. Alikuwa wa rangi nyekundu. Ng'ombe wangu alikuwa anauzwa kwa mwenye bucha. Baba alipeana ng'ombe naye akapewa pesa. Mwenye bucha alimfunga kamba mpya. Mwenye bucha akasema kuwa atamchinja auzwe kama nyama. Nilianza kulia. Nilimuhurumia ng'ombe wangu. Nilimpenda sana. Kila siku nikitoka shuleni alikuwa ananifuata nimpe maji na nyasi.

Ng'ombe alikuwa wa rangi gani?

Answer

nyekundu

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test