CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 15
Mwenye bucha angemfanyia nini ng'ombe?
From Kiswahili — Term 3 Opener Exam · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Kifungu cha Ufahamu
Leo ilikuwa siku ya mwisho kuona ng'ombe wangu. Alikuwa mkubwa sana. Alikuwa wa rangi nyekundu. Ng'ombe wangu alikuwa anauzwa kwa mwenye bucha. Baba alipeana ng'ombe naye akapewa pesa. Mwenye bucha alimfunga kamba mpya. Mwenye bucha akasema kuwa atamchinja auzwe kama nyama. Nilianza kulia. Nilimuhurumia ng'ombe wangu. Nilimpenda sana. Kila siku nikitoka shuleni alikuwa ananifuata nimpe maji na nyasi.

Answer
kumchinja
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Kila akitoka shuleni alikuwa akimfanyia nini ng'ombe?Question 16
- Jaza pengo: "Darasa ___ ni kubwa." (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu, langu)Question 17
- Jaza pengo: "Mwalimu ___ wa Kiswahili anaitwa Bi. Malkia." (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu, langu)Question 18
- Jaza pengo: "Yeye ni ___. Ana miaka hamsini. (kuhusu mwalimu aliyetajwa)" (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu,…Question 19
- Jaza pengo: "Mwalimu wetu ___ watoto wawili." (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu, langu)Question 20
- Jaza pengo: "Ninampenda rafiki ___." (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu, langu)Question 21