CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 11
Mtoto alipoamka alimwambia nini mama yake?
From Kiswahili — Term 3 Opener Exam · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Kifungu cha Ufahamu
"Una joto jingi mwilini mwanangu." Mama yangu aliguza kichwa changu na shingo. Akaniambia nirudi nilale. Nililala muda mchache kisha akaniletea dawa. Dawa zenyewe zilikuwa chungu sana. Nilishindwa kuzimeza. Mama aliniletea asali. Akaniambia nikimeza nilambe asali. Asali ilikuwa tamu sana. Nililala masaa manne. Nilipoamka nilikuwa nimesikia nafuu. Nilimwambia mama yangu asante.

Answer
asante
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Nani alikuwa anaonekana siku ya mwisho?Question 12
- Ng'ombe alikuwa wa rangi gani?Question 13
- Nani aliuziwa ng'ombe?Question 14
- Mwenye bucha angemfanyia nini ng'ombe?Question 15
- Kila akitoka shuleni alikuwa akimfanyia nini ng'ombe?Question 16
- Jaza pengo: "Darasa ___ ni kubwa." (Chagua kutoka: Mweupe, yangu, ana, wetu, langu)Question 17