CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 7
Mtoto huyu alikuwa na joto ___ (jaza pengo).
From Kiswahili — Term 3 Opener Exam · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Kifungu cha Ufahamu
"Una joto jingi mwilini mwanangu." Mama yangu aliguza kichwa changu na shingo. Akaniambia nirudi nilale. Nililala muda mchache kisha akaniletea dawa. Dawa zenyewe zilikuwa chungu sana. Nilishindwa kuzimeza. Mama aliniletea asali. Akaniambia nikimeza nilambe asali. Asali ilikuwa tamu sana. Nililala masaa manne. Nilipoamka nilikuwa nimesikia nafuu. Nilimwambia mama yangu asante.

Mtoto huyu alikuwa na joto ______ (jaza pengo).
Answer
mwilini
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.