naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Exam · Question 29

c) Leo Kokani anakaa wapi?

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress (SET 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo
Kokani analala kitini. Leo ni siku ya Jumapili. Leo Kokani anakaa nyumbani. Kesho ni siku ya Jumatatu. Kokani ataenda shuleni.

c) Leo Kokani anakaa wapi?

  1. Asokoni
  2. Bnyumbani

Answer

B. nyumbani

"Leo Kokani anakaa nyumbani."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test