naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Exam · Question 32

Andika upya sentensi zifuatazo. a) Shule yetu inang'aa kama nyota.

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress (SET 8) · 1 mark · Topic: Kuandika, Kunakili Sentensi

7. Andika upya sentensi zifuatazo.
a) Shule yetu inang'aa kama nyota.

Answer

Shule yetu inang'aa kama nyota.

Andika sentensi upya kwa hati nadhifu, ukianza kwa herufi kubwa na kumaliza kwa kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test