CBC Grade 1 Kiswahili Exam · Question 36
e) Babu analima shamba lake.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress (SET 8) · 1 mark · Topic: Kuandika, Kunakili Sentensi
7. Andika upya sentensi zifuatazo.
e) Babu analima shamba lake.
Answer
Babu analima shamba lake.
Andika sentensi upya kwa hati nadhifu, ukianza kwa herufi kubwa na kumaliza kwa kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- a) Hesabu moja hadi tano kwa sauti.Question 1
- b) Ni siku gani huwa ya kwanza ya wiki shuleni?Question 2
- c) Baada ya Jumanne, ni siku gani hufuata?Question 3
- d) Ukisalimiwa 'hujambo' utajibu aje?Question 4
- e) Wanafunzi hukalia nini wakiwa darasani?Question 5
- Soma sentensi hizi kwa sauti. a) Ninaenda sokoni.Question 6