CBC Grade 1 Kiswahili Exam · Question 31
e) Kesho Kokani ataenda wapi?
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress (SET 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo
Kokani analala kitini. Leo ni siku ya Jumapili. Leo Kokani anakaa nyumbani. Kesho ni siku ya Jumatatu. Kokani ataenda shuleni.
e) Kesho Kokani ataenda wapi?
- Adukani
- Bshuleni
Answer
B. shuleni
"Kokani ataenda shuleni."