CBC Grade 1 Kiswahili Exam · Question 28
b) Leo ni siku gani?
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress (SET 8) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali yafuatayo
Kokani analala kitini. Leo ni siku ya Jumapili. Leo Kokani anakaa nyumbani. Kesho ni siku ya Jumatatu. Kokani ataenda shuleni.
b) Leo ni siku gani?
- AJumamosi
- BJumapili
Answer
B. Jumapili
"Leo ni siku ya Jumapili."