naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 8

Sara anasoma shule gani?

From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (SET 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Sara yuko katika darasa la kwanza. Yeye anasoma katika shule ya msingi ya Chato. Mwalimu wake anaitwa Bwana Matata. Rafiki yake Sara anaitwa Furaha. Mwezi uliopita walifanya mtihani wa kwanza. Sara alipata alama mia moja. Alikuwa wa kwanza katika darasa lake. Furaha alipata alama sitini na saba. Furaha alihuzunika sana. Mwalimu Matata alimwambia Furaha asikate tamaa. Aendelee kusoma kwa bidii.

2. Sara anasoma shule gani?

Answer

shule ya msingi ya Chato

Jibu liko kwenye hadithi: shule ya msingi ya Chato.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test