CBC Grade 1 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 10
Mwalimu wake Sara anaitwa?
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (SET 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Sara yuko katika darasa la kwanza. Yeye anasoma katika shule ya msingi ya Chato. Mwalimu wake anaitwa Bwana Matata. Rafiki yake Sara anaitwa Furaha. Mwezi uliopita walifanya mtihani wa kwanza. Sara alipata alama mia moja. Alikuwa wa kwanza katika darasa lake. Furaha alipata alama sitini na saba. Furaha alihuzunika sana. Mwalimu Matata alimwambia Furaha asikate tamaa. Aendelee kusoma kwa bidii.
4. Mwalimu wake Sara anaitwa?
Answer
Bwana Matata
Jibu liko kwenye hadithi: Bwana Matata.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.