CBC Grade 1 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 17
Ambatanisha picha na nambari. (6, 3, 9) Kalamu
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (SET 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Nambari

2. Ambatanisha picha na nambari. (6, 3, 9)
Kalamu
- A6
- B3
- C9
Answer
A. 6
Kuna kalamu sita.