CBC Grade 1 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 7
Sara yuko darasa lipi?
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (SET 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali.
Sara yuko katika darasa la kwanza. Yeye anasoma katika shule ya msingi ya Chato. Mwalimu wake anaitwa Bwana Matata. Rafiki yake Sara anaitwa Furaha. Mwezi uliopita walifanya mtihani wa kwanza. Sara alipata alama mia moja. Alikuwa wa kwanza katika darasa lake. Furaha alipata alama sitini na saba. Furaha alihuzunika sana. Mwalimu Matata alimwambia Furaha asikate tamaa. Aendelee kusoma kwa bidii.
1. Sara yuko darasa lipi?
Answer
la kwanza
Jibu liko kwenye hadithi: la kwanza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.