naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 6

Soma hadithi hii kwa sauti.

From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (SET 2) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufasaha

Baraka na Halima ni marafiki. Baraka anasoma darasa la kwanza. Halima anasoma darasa la pili. Baraka na Halima wanapenda kusoma vitabu vya hadithi. Kila siku jioni wanasoma pamoja. Halima anataka kuwa daktari. Baraka anataka kuwa rubani.

Soma hadithi hii kwa sauti.

Answer

Baraka na Halima ni marafiki. Baraka anasoma darasa la kwanza. Halima anasoma darasa la pili. Baraka na Halima wanapenda kusoma vitabu vya hadithi. Kila siku jioni wanasoma pamoja. Halima anataka kuwa daktari. Baraka anataka kuwa rubani.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kila kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test