CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 5
ZOEZILAV:USHAIR! (MA 5) Soma shairi lifuatalo kisha u •ibu maswali. Naj ituma barazani, kueleza ya wanyama, Tanguliza wa nyumbani, ng'ombe alozaa ndama,…
From Test 100 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 2 · 5 marks · Topic: Fasihi, Ushairi
ZOEZILAV:USHAIR! (MA 5)
Soma shairi lifuatalo kisha u •ibu maswali.
Naj ituma barazani, kueleza ya wanyama,
Tanguliza wa nyumbani, ng'ombe alozaa ndama,
Akitulia zizini, nasi maziwa hukama,
Wanyama tuwalindeni, waishi pasi nakama
nyikani, wanyama
TWiga, Simba hata nyani, ndovu vilevile kima,
Tukitalii mbugani, wanyarna wape heshima,
Wanyama tuwalindeni, waishi pasi nakama.
Tujikaze kisabuni, kutenda yaliyo mema,
Wawindaji misituni wasionewe huruma
Txwatieni mbaroni, waione mahakama
Wanyama tuwalindeni, waishi pasi nakama
(a).
Shairi hili lina beti ngapi?
(b).
Andika kibwagizo cha shairi hili
(c).
Ni ujumbe upi unaojitokeza katika ubeti wa pili
(d).
Kila mshororo katika shairi hili una mizani mingapi?
(e).
Shairi hili ni la bahari gani?
(al I)
Gredi 9 Kiswahili karatasi ya 2
Answer
Shairi lina beti tatu. Kibwagizo ni 'Wanyama tuwalindeni, waishi pasi na kama.' Ubeti wa pili unahimiza kuheshimu wanyama wa porini. Kila mshororo una mizani kumi na sita. Shairi ni la tarbia.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Jina Nambari ya usajili Shule Tarehe Maag!zo: INSHA NA UTANGULIZI WA FASIHI MUDA: SAA 1 DAK 40 ZOEZI 1: INSHA(a1ama…Question 1
- SEHEMUYAB: ZOEZI 11: FASIHI (alama 10) 2. Soma taarifa ifuatayo kisha uiibu maswali Mahakama ya Chituki katika kaunti…Question 2
- NOVELA (Alama JO) 3. Soma sehernu ifuata o a novela kishau ibu maswali afuata o Baba alivuta Kigoda chake akakikalia…Question 3
- ZOEZI IV: TAMTHLIA (A110) Soma sehemu ifuata o atamthlia kisha fibu maswali 4. (Dkt. Tiba na Mzee Ojwang' wanakutana…Question 4