naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 3

NOVELA (Alama JO) 3. Soma sehernu ifuata o a novela kishau ibu maswali afuata o Baba alivuta Kigoda chake akakikalia na kutulia mithili ya maji mtungini.…

From Test 100 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Novela na Hadithi Fupi

NOVELA (Alama JO)
3. Soma sehernu ifuata o a novela kishau ibu maswali afuata o
Baba alivuta Kigoda chake akakikalia na kutulia mithili ya maji mtungini. Wakati huo wotemoyo wangu
ulikuwaukiduda dududu! Ni kanakwambamoyohuo ulikuwa ukibishaili ufunguliwc 'akutoka.Sikujuauamuzi
ambao angefikia baba. Nilitazama njc ya nyumba kana kwamba nilitarajia mwokozi ainye wakati huo.
Siku iliyotangulia shangazi zangu walikuwa wamckuja kwetu kumshinikiza baba kwamba lazima nipashwe
wasichana wenmngu kij ijini. Juhudi za baba za kupinga kauli hiyo ziliambulia patupu. C'UsiinØlie marnbo
wnqwakewevæ! Kwani hujui kuwa mwachamilani mtumwa"Alisema shangan Bdi kwaukali huku an-Emkodolea
baba macho yake makubwa kama ya bundi.
Mawazo yangu yalikatizwa na baba ambaye aliongea baada ya kimya cha mwongo mzima.Aliniambia kwa
upole, "Binti yangu, sitakubali kupumbazwa natamaduni zilizopitwa nawakati. Hata karnani kukcmnanahao dada
na iwe hivyo. Elimu yako ndiyo msingi itakayokujenga mustakabali wako. Hali kadhalika, sitaki kuhatarisha
maisha yako katika ukeketaji huo ambao sioni maanufaayake."
Alima akaendelea. 'Kesho tutaenda mjini nikutafltie Shule nzuri ya bweni Idciwahuko, hakuna atakayepata
nafasi ya kukudhunf'
Üamuzi wa baba uliniondolea mzigo mzito niliobeba moyoni mwangu. Ndoto yangu ambayo ilikuwa ikitishia
kuzimika ilianza kung'aa nguvu zaidi. Niliapa kwamba katu nisingempaka tope baba kwa kuinélia starehe za
ujana Nngeyaangazia masomo yangu kikamilifr. I-musiano wangu na baba uliimarika zaidi *ikuhiyo nilipotambua
jinsi alivyonijali.
(a). Ni mazingira yapi yanayojitokeza katika dondoo hili?
(b). Maudhui ni masuala ambayo huangaziwa katika kazi ya fasihi. Fafanua masuala mawili yaliyoangaziwa
katika dondoo hili?
(ii)
Eleza sifa mojamoja ya
(c).
_Msimu1izi
(i).
Babaye msimulizi
(ii).
Kwa kutolea mfano eleza mbinu mbili za lugha zilizotumika k?.tika dondoo hili
(d).
(i)
Andika funzo moja linalopatikana katika dondoo hili
ZOEZI IV: TAMTHLIA (A110)
Soma sehemu ifuata o atamthlia kisha fibu maswali
4.
(Dkt. Tiba na Mzee Ojwang' wanakutana njiani. Wanaamkuana)

Answer

Mandhari ni nyumbani au mashambani. Masuala ni elimu, utamaduni na ukeketaji. Msimulizi ni mtiifu na jasiri; baba ni mwenye hekima na mkarimu. Mbinu za lugha ni tashbihi, kwa mfano 'mithili ya maji mtungini', na tanakali ya sauti 'dududu'. Funzo ni kupinga mila zilizopitwa na wakati na kuthamini elimu.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test