naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 2

SEHEMUYAB: ZOEZI 11: FASIHI (alama 10) 2. Soma taarifa ifuatayo kisha uiibu maswali Mahakama ya Chituki katika kaunti ya Maendeleo ilijaa sisisi kiasi…

From Test 100 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi

SEHEMUYAB:
ZOEZI 11: FASIHI (alama 10)
2. Soma taarifa ifuatayo kisha uiibu maswali
Mahakama ya Chituki katika kaunti ya Maendeleo ilijaa sisisi kiasi chakuwatema wengine nje. Madirishani,
za mlalamishi walibinpana kila mmoja alitaka kushuhudia kesi hiyo ambayo haikuwa ya kawaida.
Hakimu alipoingia, wote walisimama kwa heshima kisha utulivu ukatanda, kila mmoja akisubiri mshtakä
na mshtakiwakwa hamu na ghamu. Walipofikishwa mbele ya hakirnu minong'ono ilianza kabla ya kiongozi wa
mashtaka kutuamuru kunyamazaji!
Ukishangaa yaMusa utaonaya Firauni. Maria bintiNjoro, msichanawa gedi ya tisa kaüka Shule yamwangaza
alitetemekea pale mbele. Tumbo lake tayari lilikuwa Ia kiriba huku blauzi aliyovaa ikimkaza karibu ipasuke. Uso
wake ulisawijflca na kuonekana ukiwa dhaiål kuliko kawaida. Mwili wake mdogo ulikuwa bado wa mwana wa umri
wa mwongo mmoja tu.
wamiakaishirininammoja, KatongaBimMareko,mfanyzkazi
katikajumba Ia akina Maria! Aliposimama kizimbani, kila mtu mahakamani alianza kumlaani na kumtolea matusi
makalimakalil MamayaMariana wanawakewengine walilia kwauchunguwamwanawao ambaye
mtoto mdogo. Baada ya miezi mitatu tu, Maria mwana wao angejifungua mtoto! Hukumu ya kiftngo cha maisha
iliyomngojea mshukiwailikuwaya haki.
(a)
Wale waliofika mahakamani walitaka nini?
(b).
b/ßhtakiwa husimama wapi mahakamani?
(c).
Jinajingine sawa na 'mahakama' ni
(d).
Mshukiwa alikuwa na kosa gani?
Ni nani aliwanyamazisha watu waliokuwa wakiongea mahakamani?
Kilio cha mama mlalamishi kinadhihirishwa na methali
wa mwana aujuaye mzazi
(g).
Kichwa kifaacho zaidi kwa makala haya ni?
Gredi 9 Kiswahilikaratasi ya 2

Answer

Waliofika mahakamani walitaka kujionea na kujisikilizia kesi. Mshtakiwa husimama kizimbani. Jina jingine la mahakama ni korti. Kosa lilikuwa kumpachika Maria mimba. Kiongozi wa mashtaka aliwanyamazisha watu. Kilio kinaonyesha kuwa uchungu wa mwana hujulikana na mzazi. Kichwa kinachofaa ni 'Ukeketaji wa wasichana' au 'Haki mahakamani' kwa hoja inayotetewa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test