naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 4

ZOEZI IV: TAMTHLIA (A110) Soma sehemu ifuata o atamthlia kisha fibu maswali 4. (Dkt. Tiba na Mzee Ojwang' wanakutana njiani. Wanaamkuana) Hujambo Bwana…

From Test 100 — Revision 5 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Tamthilia

ZOEZI IV: TAMTHLIA (A110)
Soma sehemu ifuata o atamthlia kisha fibu maswali
4.
(Dkt. Tiba na Mzee Ojwang' wanakutana njiani. Wanaamkuana)
Hujambo Bwana Ojwang? (Akimnyoshea mkono)
DktTiba:
Sijambo Bwana Daktari. U hali gani?
Ojwang:
Njema. Naona unaendelea wema. Kweli maisha pamekukubali na kukupenda.
Wacha masihara. (Anacheka). Je, mbona umetoka hospitalini mapema? Unaelekea wapi?
DktTiba:
Sina budi mwenzangu. Lisilo budi hutendwa. Pametokea mkurupuko wa maradhi ya waba
Ojwang:
katika rntaa wa Jitengeni. Tumeandaa mkutano na wakazi hao ili kuwaeleza mbinu za
Dkt Tiba:
kuyadhibiti maradhi hayo.
Jamani, Mungu awajalie afueni ya haraka. Aidha, wakazi hao wanafaa kuzingatiausafi wa
Ojwang:
kibinafsi na usafi wa mazingira.
(Akitikisa kichwa kuonyesha kukubaliana) Bila shaka inasemekana kuwa hawajakuwa
wakizingatia usafi wa sehemu za umma vilevile.
Dkt.
Hilo ni kosa kubwa. Haya basi, nisikupotezee wakati. Endelea na safari yako. Mimi
ninaelekea shuleni anakosomea mwanangu mkutano wa wazazi na walezi.
Ojwang:
Asante kwa kujukumika. Haya mwenzangu, kila la heri (wanaagana)
Gredi 9 Kiswahili karatasi ya 2
DktTiba:
(d)
Makala hayo ni mfano ya tamthilia. Eleza maana ya tamthilia
(b)
Tamthlilia ni mojawapo wa kipera cha aina gani ya fasihi?
(all)
(c)
Eleza sifa mbili za tamthlia ukirejelea makala uliyoyasoma
(i)
(ii)
(d)
Tambua mandhari mawili yanayojitokem katika makala haya
(i)
(ii)
(e)
Mwandishi wa makala ametumia maneno 'maisha yamekukubali na kukupenda"
Huu ni mfano wa
mbinu gani ya lugha?
(D
Taja maudhui yoyote yaliyoshughulikiwa katika makala haya
(g)
Elem maana ya maudhui
(all)
ZOEZILAV:USHAIR! (MA 5)

Answer

Tamthilia ni kazi ya fasihi andishi inayokusudiwa kuigizwa. Ni kipera cha fasihi andishi. Huwa na mazungumzo, wahusika na maelekezo ya jukwaa. Mandhari ni njiani na katika mtaa wa Jitengeni. 'Maisha yamekukubali na kukupenda' ni tashihisi. Maudhui ni afya na usafi. Maudhui ni mawazo na masuala makuu yanayojadiliwa katika kazi ya fasihi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test