CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 4
SEHEMU YA D: USHAIRI (A1-I O) Soma shairi lifuatalo kisha uiibu maswali. Uchomaji makaa, huharibu mazingira Husababisha mitaa, ikakumbwa na madhara…
From Test 98 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Ushairi
SEHEMU YA D: USHAIRI (A1-I O)
Soma shairi lifuatalo kisha uiibu maswali.
Uchomaji makaa, huharibu mazingira
Husababisha mitaa, ikakumbwa na madhara
Zikang'olewa mapaa, nyumba zisizo imara
Upepo ukisambaa, na kuvuma barabara
Kujenga bila kujali, na kiholela kuchunga
Ikawa kila pahali, mifugo kote hutanga
Na shughuli mbalimbali, zinazosomba mchanga
Ni jambo Ia kuja/dili, na kuanza kujipanga
Ardhi pasi mizizi', ya miti na hata nyasi
Huwa bila kizuizi, mchanga huwa mwepesi
Kuuhifadhi zweh, kwa vua na kikukusi
Kwa sab' u kama hizi, mchanga humomonyoka.
Maswali
a) Shairi bidi ni la aina gani?
(Alama 2)
b) Mloto-wa ubeti wa tatu unazungumzia nini?
(Alama 2)
c) Shairi hili lina mishororo mingapi kwa jumla?
(Alama 2)
d) Vina vya ubeti wa pili ni
(Alama 2)
e) Kulingana na taja mambo mawili ambayo husababisha mmomonyoko wa udongo.
(Alama 2)
i)
ii)
Answer
Shairi ni la tarbia. Mshororo wa tatu unaeleza kuwa ardhi isiyo na mizizi ya miti na nyasi huwa nyepesi na humomonyoka. Shairi lina mishororo kumi na miwili. Vina vya ubeti wa pili ni -li na -nga. Mmomonyoko unasababishwa na ufugaji wa mifugo kwa pamoja na ardhi kukosa mizizi ya miti au nyasi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- MTAHINI PEKEE SEHEMUA SEHEMU B Zoezi l: Insha Zoezi II: Fasihi Zoezi Ill Zoezi IV: Simulizi Tamthlia Ushairi Upeo wa…Question 1
- SEHEMU YA B zoEZ1 LA 2:FASIH1 SIMULIZI 15 Soma wimbo ufuatao kisha u •ibu maswali. Kitoto kizembe aiya aiya Kikienda…Question 2
- SEHEMU YA C Zoezi la III - Tamthlia - alama 10 Soma dondoo hili kisha u •ibu maswali. (Ratika iukwaa wapo wana(unzi…Question 3