CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 3
SEHEMU YA C Zoezi la III - Tamthlia - alama 10 Soma dondoo hili kisha u •ibu maswali. (Ratika iukwaa wapo wana(unzi wawili. Mariam na Hassan wakiiadiliana iuu…
From Test 98 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 2 · 10 marks · Topic: Fasihi, Tamthilia
SEHEMU YA C
Zoezi la III - Tamthlia - alama 10
Soma dondoo hili kisha u •ibu maswali.
(Ratika iukwaa wapo wana(unzi wawili. Mariam na Hassan wakiiadiliana iuu pa nidhamu shuleni).
Mariamu:
Wanafunzi wengi siku hizi hawaheshimu walimu. Wanachelewa darasani, wengine hata
hawaleti kazi za nyumbani.
Hassan:
Ni kweli, nidhamu imeporomoka. Nidhamu ni msingi wa mafanikio. Bila nidhamu,
mwanafunzi hawezi kufanikisha lolote.
Mariamu:
Mimi ninaamini nidhamu ni kama taa. Bila taa, mtu huenda gizani na kupotea njiani.
Hassan:
Naam, nidhamu ni nguzo ya heshima. Ukikosa heshima, basi jamii nzima huathirika.
Maswali
a) Eleza sifa mbili za nidhamu kulingana na mazungumzo haya.
(Alama 2)
i)
(Alama 2)
b) Taja na ueleze mbinu ya lugha iliyotumika na Mariamu.
(Alama 2)
c) Hassan alieleza nini kuhusu matokeo ya kukosa nidhamu?
d) Ni funzo gani unalopata kutokana na mazungumzo haya? (Alama 4) Shirikisha maoni ya Hassan na
Mariamu katika jibu Iako.
SEHEMU YA D: USHAIRI (A1-I O)
Soma shairi lifuatalo kisha uiibu maswali.
Answer
Nidhamu ni msingi wa mafanikio; bila nidhamu mwanafunzi hawezi kufanikisha lolote. Mariamu ametumia tashbihi 'nidhamu ni kama taa'. Kukosa nidhamu huathiri jamii na huwafanya wanafunzi washindwe kufanikiwa. Funzo ni kwamba kila mtu anapaswa kushikilia nidhamu ili imuongoze na kuilinda jamii.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA D: USHAIRI (A1-I O) Soma shairi lifuatalo kisha uiibu maswali. Uchomaji makaa, huharibu mazingira…Question 4
- MTAHINI PEKEE SEHEMUA SEHEMU B Zoezi l: Insha Zoezi II: Fasihi Zoezi Ill Zoezi IV: Simulizi Tamthlia Ushairi Upeo wa…Question 1
- SEHEMU YA B zoEZ1 LA 2:FASIH1 SIMULIZI 15 Soma wimbo ufuatao kisha u •ibu maswali. Kitoto kizembe aiya aiya Kikienda…Question 2