CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 2
SEHEMU YA B zoEZ1 LA 2:FASIH1 SIMULIZI 15 Soma wimbo ufuatao kisha u •ibu maswali. Kitoto kizembe aiya aiya Kikienda Shule aiya aiya Saa tatu hazijafika aiya…
From Test 98 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 2 · 15 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
SEHEMU YA B
zoEZ1 LA 2:FASIH1 SIMULIZI 15
Soma wimbo ufuatao kisha u •ibu maswali.
Kitoto kizembe aiya aiya
Kikienda Shule aiya aiya
Saa tatu hazijafika aiya aiya
Ndicho hicho chalia aiya aiya
"TICha naona njaa aiya aiya"
Mwalimu hadiriki kuandika lolote aiya aiya
Kitoto machozi yatoka aiya aiya
Hadi Nhusa kipewe aiya aiya
Kitazame kilo ndani ya chupa aiya aiya
Ndipo kitulie aiya aiya
Maswali
a) Huu ni wimbö wa aina gani? Eleza.
(Alama 2)
b) Andika wahusika wawili ambao wametajwa katika wimbo huu.
i)
(Alama 2)
c) Andika sifa tatu za aina hizi za nyimbo.
(Alama 3)
i)
ii)
iii)
d) Taja mbinu tatu zitumikazo katika aina hizi za nyimbo.
(Alama 3)
i)
ii)
iii)
e) Eleza umuhimu wa wimbo huu?
(Alama 3)
f) Taja maeneo mawili au miktadha ambamo nyimbo hizi huimbwa.
(Alama 2)
i)
Answer
Ni wimbo wa watoto. Wahusika ni kitoto na mwalimu. Sifa zake ni kuelimisha, kuburudisha, kuelekeza na kufunza. Mbinu zake ni urudiaji, kukariri, kusisitiza ujumbe na kutumia lugha nyepesi. Umuhimu wake ni kuelimisha watoto, kuvutia somo na kuyeyusha ukinaifu. Nyimbo hizi huimbwa shuleni, kanisani au nyumbani.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA C Zoezi la III - Tamthlia - alama 10 Soma dondoo hili kisha u •ibu maswali. (Ratika iukwaa wapo wana(unzi…Question 3
- SEHEMU YA D: USHAIRI (A1-I O) Soma shairi lifuatalo kisha uiibu maswali. Uchomaji makaa, huharibu mazingira…Question 4
- MTAHINI PEKEE SEHEMUA SEHEMU B Zoezi l: Insha Zoezi II: Fasihi Zoezi Ill Zoezi IV: Simulizi Tamthlia Ushairi Upeo wa…Question 1