CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam: Revision 3 Kiswahili Karatasi 2
Test 98 — Revision 3 Kiswahili Karatasi 2 · Revision 3 Kiswahili Karatasi 2 · 4 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 4 questions with answers
- Question 1: MTAHINI PEKEE SEHEMUA SEHEMU B Zoezi l: Insha Zoezi II: Fasihi Zoezi Ill Zoezi IV: Simulizi Tamthlia Ushairi Upeo wa alama Alama a…Answer: Naikumbuka asubuhi hiyo kana kwamba ni jana tu. Tulikuwa tumeanza somo la Hisabati. Ghafla, kengele…
- Question 2: SEHEMU YA B zoEZ1 LA 2:FASIH1 SIMULIZI 15 Soma wimbo ufuatao kisha u •ibu maswali. Kitoto kizembe aiya aiya Kikienda Shule aiya aiya Saa…Answer: Ni wimbo wa watoto. Wahusika ni kitoto na mwalimu. Sifa zake ni kuelimisha, kuburudisha, kuelekeza na…
- Question 3: SEHEMU YA C Zoezi la III - Tamthlia - alama 10 Soma dondoo hili kisha u •ibu maswali. (Ratika iukwaa wapo wana(unzi wawili. Mariam na…Answer: Nidhamu ni msingi wa mafanikio; bila nidhamu mwanafunzi hawezi kufanikisha lolote. Mariamu ametumia tashbihi…
- Question 4: SEHEMU YA D: USHAIRI (A1-I O) Soma shairi lifuatalo kisha uiibu maswali. Uchomaji makaa, huharibu mazingira Husababisha mitaa, ikakumbwa…Answer: Shairi ni la tarbia. Mshororo wa tatu unaeleza kuwa ardhi isiyo na mizizi ya miti na nyasi huwa nyepesi na…