CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 33
Eleza sifa nne za mtambaji bora.
From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 4 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
Eleza sifa nne za mtambaji bora.
Answer
Awe na sauti ya kuvutia. Awe na ujuzi wa kutumia lugha ya mwili. Awe na uwezo wa kushirikisha hadhira. Awe na uelewa wa kina wa hadithi anayoelezea.
Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Taja fani za lugha zinazotumika katika fasihi andishi.Question 34
- Ni nani aliyekuwa akimtesa Vumilia?Question 1
- Eleza maana ya maelezo 'liandikwalo na Mungu lazima liwe'.Question 2
- Kulingana na kifungu ulichokisoma mwanzoni Vumilia alinyimwa haki gani?Question 3
- Kwa nini marafiki walimtoroka Vumilia?Question 4
- Taja sifa mbili za wazazi wake Vumilia kulingana na kifungu ulichokisoma.Question 5