CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 32
Taja sifa tatu za fasihi simulizi.
From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 3 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
Taja sifa tatu za fasihi simulizi.
Answer
Hutegemea utendaji wa mtambaji. Inapitishwa kwa mdomo kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Huwa na matumizi ya lugha ya picha na tamathali za semi.
Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Eleza sifa nne za mtambaji bora.Question 33
- Taja fani za lugha zinazotumika katika fasihi andishi.Question 34
- Ni nani aliyekuwa akimtesa Vumilia?Question 1
- Eleza maana ya maelezo 'liandikwalo na Mungu lazima liwe'.Question 2
- Kulingana na kifungu ulichokisoma mwanzoni Vumilia alinyimwa haki gani?Question 3
- Kwa nini marafiki walimtoroka Vumilia?Question 4