naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 3

Kulingana na kifungu ulichokisoma mwanzoni Vumilia alinyimwa haki gani?

From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 2 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Kulingana na kifungu ulichokisoma mwanzoni Vumilia alinyimwa haki gani?

Answer

Haki ya kuheshimiwa na kutendewa haki kama mfanyakazi. Haki ya kuishi maisha bora bila mateso.

Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test