CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 7
Ni nini si sahihi kulingana na habari uliyosoma?
From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Ni nini si sahihi kulingana na habari uliyosoma?
- AA. Vumilia hakuwashughulikia wazazi wake.
- BB. Vumilia alikuwa na marafiki wengi.
- CC. Vumilia alipatana na wazazi wake alipofutwa kazi.
- DD. Vumilia aliwashughulikia wazazi wake vizuri.
Answer
D. D. Vumilia aliwashughulikia wazazi wake vizuri.
Jibu sahihi: D. Vumilia aliwashughulikia wazazi wake vizuri -- kauli hii SI sahihi, kwani kifungu kinaonyesha Vumilia aliwapuuza wazazi wake (aliponda mali na kutia maskio nta) mpaka alipofutwa kazi.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 8.Question 8
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 9.Question 9
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 10.Question 10
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 11.Question 11
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 12.Question 12
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 13.Question 13