naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 8

Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 8.

From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Kamilisha kifungu kifuatacho kwa kutumia maneno uliyopewa kisandukuni ili kujaza nafasi 8-17. Maneno (kila neno hutumika mara moja): Chumvi, maji, viwili, kwa vile, sukari, mengi, kujirashia, mapema, mafuta, harufu.
Siku ya kuzuru mbuga nilijitayarisha 8______. Baada ya kuoga nilijipaka 9______. Niliepuka 10______ marashi 11______ kwani mwalimu alisema si vyema kuwasumbua wenzako kwa 12______ ambayo hawaipendi. Nilitia chai kwenye kikombe na kutia 13______ vijiko 14______. Nilikuwa makini ili nisije nikatia 15______ badala ya sukari. 16______, safari ilikuwa ndefu, nilibeba 17______ kwenye chupa.

Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 8.

  1. AChumvi
  2. Bmaji
  3. Cviwili
  4. Dkwa vile
  5. Esukari
  6. Fmengi
  7. Gkujirashia
  8. Hmapema
  9. 9mafuta
  10. 10harufu

Answer

H. mapema

Jibu sahihi: mapema.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test