CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 3 · Question 6
Ni nini maana ya kutia maskio nta?
From Test 112 — Kazi ya Ziada (Kiswahili) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Ni nini maana ya kutia maskio nta?
Answer
Maana yake ni kupuuza au kutojali ushauri au maonyo.
Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni nini si sahihi kulingana na habari uliyosoma?Question 7
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 8.Question 8
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 9.Question 9
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 10.Question 10
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 11.Question 11
- Chagua neno linalofaa zaidi kujaza nafasi ya 12.Question 12