CBC Grade 6 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 9
Ni nini chanzo cha uhasama na ukosefu wa utulivu kulingana na kifungu?
From Test 6 — Term 2: Endterm Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Kifungu
Ulimwengu wa sasa umejaa uhasama. Ni wazi kuwa hakuna usalama unaowazunguka na kuwalinda raia. Unapoingia mitandaoni au kusikiliza redio, habari kuu ni za ujambazi na vita. Hii ni dalili kuwa nchi nyingi hazikumbatii mshikamano wa kitaifa. Mshikamano huu una jukumu la kuwaleta watu pamoja na kutatua migogoro.
Ulimwengu wa sasa umejaa uhasama. Ni wazi kuwa hakuna usalama unaowazunguka na kuwalinda raia. Unapoingia mitandaoni au kusikiliza redio, habari kuu ni za ujambazi na vita. Hii ni dalili kuwa nchi nyingi hazikumbatii mshikamano wa kitaifa. Mshikamano huu una jukumu la kuwaleta watu pamoja na kutatua migogoro.
Ni nini chanzo cha uhasama na ukosefu wa utulivu kulingana na kifungu?
Answer
Chanzo cha uhasama na ukosefu wa utulivu ni kukosekana kwa mshikamano wa kitaifa.
Kifungu kinasema, "nchi nyingi hazikumbatii mshikamano wa kitaifa." Hiyo ndiyo sababu ya uhasama na ukosefu wa utulivu: watu hawajaungana na migogoro haitatuliwi. Ujambazi na vita ni matokeo, si chanzo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Taja vyombo viwili vya habari vilivyotajwa katika kifungu.Question 10
- Pendekeza kichwa mwafaka kwa kifungu hiki.Question 11
- Kwa nini ajira ya watoto inachukuliwa kuwa hatia?Question 12
- Toa ushauri mmoja uliotolewa na mwandishi ili kuzuia unyanyasaji wa watoto.Question 13
- Neno “viokote” limetumiwa kumaanisha nani?Question 14
- Jaza nafasi (15) kwa neno linalofaa.Question 15