CBC Grade 6 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 15
Jaza nafasi (15) kwa neno linalofaa.
From Test 6 — Term 2: Endterm Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kifungu cha kujaza nafasi (maswali 15-19)
Mwanadamu anapaswa kuishi kulingana na uwezo (15) _____ (16) _____. Kila mtu (17) _____ kwa mbali. Si vyema kushindana na wenzetu kwani mtu hujikuna ajipatapo. Wazazi wangu walinishauri (18) _____ kwa kila jambo.
Tunapaswa kusaidiana kwa shughuli (19) _____ tunazofanya kila siku.
Mwanadamu anapaswa kuishi kulingana na uwezo (15) _____ (16) _____. Kila mtu (17) _____ kwa mbali. Si vyema kushindana na wenzetu kwani mtu hujikuna ajipatapo. Wazazi wangu walinishauri (18) _____ kwa kila jambo.
Tunapaswa kusaidiana kwa shughuli (19) _____ tunazofanya kila siku.
Jaza nafasi (15) kwa neno linalofaa.
Answer
wake
Jibu ni "wake". Kimilikishi cha nafsi ya tatu umoja kinachopatana na "uwezo" ni "wake" (uwezo wake): Mwanadamu anapaswa kuishi kulingana na uwezo wake.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Jaza nafasi (16) kwa neno linalofaa.Question 16
- Jaza nafasi (17) kwa neno linalofaa.Question 17
- Jaza nafasi (18) kwa neno linalofaa.Question 18
- Jaza nafasi (19) kwa neno linalofaa.Question 19
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika umoja: Waungwana wowote hawawezi kutuvurugia mikutano.Question 20
- Ni ipi ngeli ya maneno haya: manufaa, machozi na marashi?Question 21