CBC Grade 6 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 11
Pendekeza kichwa mwafaka kwa kifungu hiki.
From Test 6 — Term 2: Endterm Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Kifungu
Ulimwengu wa sasa umejaa uhasama. Ni wazi kuwa hakuna usalama unaowazunguka na kuwalinda raia. Unapoingia mitandaoni au kusikiliza redio, habari kuu ni za ujambazi na vita. Hii ni dalili kuwa nchi nyingi hazikumbatii mshikamano wa kitaifa. Mshikamano huu una jukumu la kuwaleta watu pamoja na kutatua migogoro.
Ulimwengu wa sasa umejaa uhasama. Ni wazi kuwa hakuna usalama unaowazunguka na kuwalinda raia. Unapoingia mitandaoni au kusikiliza redio, habari kuu ni za ujambazi na vita. Hii ni dalili kuwa nchi nyingi hazikumbatii mshikamano wa kitaifa. Mshikamano huu una jukumu la kuwaleta watu pamoja na kutatua migogoro.
Pendekeza kichwa mwafaka kwa kifungu hiki.
Answer
Ukosefu wa Usalama Duniani
Kichwa mwafaka ni kifupi na kinaeleza wazo kuu la kifungu. Kifungu kinahusu uhasama na ukosefu wa usalama ulimwenguni, na umuhimu wa mshikamano wa kitaifa. Kwa hivyo "Ukosefu wa Usalama Duniani" au "Uhasama Duniani" kinafaa; "Umuhimu wa Mshikamano wa Kitaifa" pia kinafaa. Kichwa kisichohusu wazo hili hakifai.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kwa nini ajira ya watoto inachukuliwa kuwa hatia?Question 12
- Toa ushauri mmoja uliotolewa na mwandishi ili kuzuia unyanyasaji wa watoto.Question 13
- Neno “viokote” limetumiwa kumaanisha nani?Question 14
- Jaza nafasi (15) kwa neno linalofaa.Question 15
- Jaza nafasi (16) kwa neno linalofaa.Question 16
- Jaza nafasi (17) kwa neno linalofaa.Question 17