CBC Grade 6 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 6
Andika mshororo wa tatu wa ubeti wa pili (utao).
From Test 6 — Term 2: Endterm Assessment 2026 (Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi
Shairi
Mtumai cha nduguye, kisha hufa masikini,
Kamwe hana apendaye, muunge kiujirani,
Sisahau aombaye, si siri haoni soni,
Ajizi hakika jua, daima nyumba ya njaa.
Usingizi sio mali, amka uende kazi,
Usijiunge na hali, ya kudai hujiwezi,
Jamani usikubali, kulala ukibarizi,
Ajizi hakika jua, daima nyumba ya njaa.
Mtumai cha nduguye, kisha hufa masikini,
Kamwe hana apendaye, muunge kiujirani,
Sisahau aombaye, si siri haoni soni,
Ajizi hakika jua, daima nyumba ya njaa.
Usingizi sio mali, amka uende kazi,
Usijiunge na hali, ya kudai hujiwezi,
Jamani usikubali, kulala ukibarizi,
Ajizi hakika jua, daima nyumba ya njaa.
Andika mshororo wa tatu wa ubeti wa pili (utao).
Answer
Jamani usikubali, kulala ukibarizi
Mshororo ni mstari mmoja wa shairi. Ubeti wa pili una mishororo minne: (1) "Usingizi sio mali, amka uende kazi", (2) "Usijiunge na hali, ya kudai hujiwezi", (3) "Jamani usikubali, kulala ukibarizi", (4) "Ajizi hakika jua, daima nyumba ya njaa". Kwa hivyo mshororo wa tatu ni "Jamani usikubali, kulala ukibarizi." (Sehemu ya pili ya mshororo, "kulala ukibarizi", huitwa utao.)
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na shairi, ni nini madhara ya ajizi kwa mtu binafsi au taifa?Question 7
- Neno “soni” lina maana gani katika shairi hili?Question 8
- Ni nini chanzo cha uhasama na ukosefu wa utulivu kulingana na kifungu?Question 9
- Taja vyombo viwili vya habari vilivyotajwa katika kifungu.Question 10
- Pendekeza kichwa mwafaka kwa kifungu hiki.Question 11
- Kwa nini ajira ya watoto inachukuliwa kuwa hatia?Question 12