CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025: KJSEA Series July–August 2025 (Set 12)
Kiswahili — KJSEA Series July–August 2025 (Set 12) · KJSEA Series July–August 2025 (Set 12) · 21 questions
Topics: Kuandika, Kusoma.
All 21 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A (Alama 15) ZOEZI I: INSHA Maagizo i. Inapendekezwa uchukue muda wa dakika 40 katika zoezi hili. ii. Andika insha yenye maneno…Answer: Mchana ule jua lilikuwa likiwaka kwa ukali, likichoma ngozi na kukausha kila kitu. Tukiwa watoto, tulikuwa…
- Question 2: SEHEMU B (Alama 35) ZOEZI II: FASIHI SIMULIZI (Alama 10) (a) Kipera cha hadithi hii ni nini? Toa sababu moja kuthibitisha jibu lako.…Answer: Ni ngano. Sababu: ina wahusika wanyama, Panya na Sungura, wanaozungumza kama binadamu, na inatoa funzo.
- Question 3: (b) Eleza sifa mbili za Mzee Kobe kama zinavyojitokeza katika hadithi hii. (alama 2)Answer: Ni mwenye hekima: alijulikana kwa hekima yake isiyokadirika. Ni mshauri mzuri: wanakijiji walipomwendea…
- Question 4: (c) Ni ujumbe gani mkuu unapatikana katika hadithi ya Mzee Kobe? (alama 1)Answer: Tunapaswa kutumia rasilimali zetu kwa busara na kushirikiana bila kukata tamaa wakati wa matatizo.
- Question 5: (d) Taja mbinu mbili za uwasilishaji ambazo Mzee Kobe alizitumia ili kuwafunza wanakijiji. (alama 2)Answer: Kusimulia hadithi (ya Panya na Sungura) na kuwaacha wanakijiji watafakari ili wajipatie jibu wenyewe.
- Question 6: (e) Kauli, ‘Mwalimu wa Maisha’ imetumiwa katika hadithi hii. Eleza maana yake kulingana na muktadha wa hadithi. (alama 2)Answer: Inamaanisha kuwa Mzee Kobe alifundisha watu mambo muhimu ya maisha kupitia hekima na hadithi zake, na…
- Question 7: (f) Eleza funzo unalopata kutoka kwa Sungura katika hadithi hii. (alama 1)Answer: Tunapaswa kutumia rasilimali kwa busara na kuweka akiba kwa ajili ya siku zijazo badala ya kumaliza kila…
- Question 8: ZOEZI III: NOVELA (Alama 10) (a) Kazi za fasihi huwa na malengo maalum. Eleza dhamira ya sehemu hii ya novela. (alama 2)Answer: Dhamira ni kuonyesha kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora na inaweza kubadilisha maisha ya familia na jamii,…
- Question 9: (b) Eleza aina mbili za mandhari zinazojitokeza katika sehemu hii ya novela. (alama 2)Answer: Mandhari ya kijiji / mashambani: kijiji cha Umoja na shamba la Bwana Tenge. Mandhari ya nyumbani: Tumaini…
- Question 10: (c) Tumaini ni mwenye bidii masomoni. Eleza sifa nyingine mbili za Tumaini. (alama 2)Answer: Ni msaidizi: alimsaidia mama yake kazi za nyumbani baada ya shule. Ni mcha Mungu: alikesha usiku kucha…
- Question 11: (d) Ploti ni namna ambavyo matukio katika kazi ya fasihi yanavyojitokeza. Eleza mfuatano wa matukio katika maisha ya Bwana Tenge. (alama 2)Answer: Kwanza Bwana Tenge alifanya kazi shambani kwa bidii ili familia ile. Kisha bei za mazao zilishuka akafikiria…
- Question 12: (e) Eleza mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika sehemu hii ya novela. (alama 2)Answer: Tashbihi: "Habari zilienea kama moto wa nyasi." Sitiari: "Tumaini ... alikuwa nuru ya macho yake."
- Question 13: ZOEZI LA IV: TAMTHILIA (Alama 10) (a) Mazungumzo ni mojawapo ya sifa za tamthilia. Eleza sifa nyingine mbili za tamthilia ambazo…Answer: Maelekezo ya jukwaa yaliyoandikwa kwa mlazo kwenye mabano, kama (Akinyosha mkono). Imegawanywa katika sehemu…
- Question 14: (b) Mada ya usafi wa mazingira imeshughulikiwa katika sehemu hii ya tamthilia. Fafanua mada nyingine mbili ambazo zimeshughulikiwa katika…Answer: Afya: Kituo anasema shule ikiwa chafu wadudu na maradhi yataenea, hivyo usafi unalinda afya. Uwajibikaji:…
- Question 15: (c) Eleza umuhimu wa maelezo yaliyoandikwa kwa herufi za mlazo katika sehemu hii ya tamthilia. (alama 2)Answer: Yanamwelekeza mwigizaji jinsi ya kutenda au kuzungumza, kwa mfano (Kwa sauti ya upole), na yanaeleza…
- Question 16: (d) Neno ‘nguzo’ ni mfano wa mbinu ya nahau. Eleza mbinu nyingine mbili za lugha zilizotumiwa katika sehemu hii ya tamthilia. (alama 2)Answer: Methali: "Usafi ni nusu ya imani." Swali la balagha: "Mtaweza kusoma vizuri?"
- Question 17: ZOEZI V: USHAIRI (Alama 5) (a) Eleza ujumbe wa shairi hili. (Alama 1)Answer: Elimu ni muhimu kwa sababu ni ufunguo wa maisha bora na mafanikio, hivyo wanafunzi wanapaswa kujitahidi…
- Question 18: (b) Shairi hili lina beti ngapi? (Alama 1)Answer: Saba
- Question 19: (c) Taja aina moja ya teknolojia iliyotajwa kwenye shairi. (Alama 1)Answer: Kompyuta
- Question 20: (d) Malenga kwenye shairi hili ni nani? (alama 1)Answer: K. David
- Question 21: (e) Andika mshororo wa mwisho katika beti ya tano. (alama 1)Answer: Heshima kwa wote, sifa njema tutapata.